Thursday 21st, January 2021
@
Mbio za Mwenge wa Uhuru hufanyiaka kila mwaka katika maeneo mbalimbali nchini. Mbio hizi huanza na tukio la kuwashwa kwa mwenge katika mkoa uliochaguliwa kitaifa, kisha kukimbizwa mikoa yote ya Tanzania bara na Visiwani kutoa tumaini ,kuhamasisha ushiriki katika miradi ya maendeleo pamoja na kuhamasisha amani.
Mbio hizi huwa na kauli mbiu ambazo huchaguliwa kila mwaka kutokana na vipaumbele vya maendeleo kitaifa ambavyo huendana na uzinduzi wa miradi ya maendeleo katika maeneo unapopita. Mwenge huu unaambatana na ujumbe wa Matumaini, Upendo, Amani na Heshima.
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa