• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

MAAFISA MAENDELEO JIJI LA ARUSHA WATAKIWA KUPINGA UKATILI

Posted on: March 16th, 2021

Maafisa Maendeleo Jiji la Arusha watakiwa kupinga Ukatili 

Na Mwandishi wetu

Maafisa  maendeleo wa Kata katika Halmashauri ya Jiji la Arusha wametakiwa kutumia nafasi zao vyema kwa kuhakikisha kuwa wanapinga  vitendo vya ukatili  wa kijinsia  katika kata wanazofanya kazi lengo ikiwa ni kujenga jamii bora ambayo  inatambua haki za binadamu  na kuzilinda.

 Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya   Jiji la Arusha Dk.John Pima  wakati akifungua  mafunzo ya  maafisa wa maendeleo  kutoka kata 25 wa  Halmashauri hiyo    mafunzo yenye lengo la  kuwajengea uwezo  wa namna bora  kusaidia jamii  kupinga   ukatili wa kijinsia na  umuhimu wa Lishe bora kwa watoto.

Dk.Pima alisema kuwa maafisa maendeleo wanajukumu lakuhakikisha kuwa watoto hawatendewi ukatili wa kijinsia  katika jamii wanazofanyia kazi  kwa kuchukua hatua za kisheria kwa watu watakaobainika wanaonyanyasa watoto.

Pamoja na mambo mengine anawataka kuhakikisha wanaelimisha jamii kuhusu Lishe bora kwa watoto ikiwa ni kuwaepushia watoto magonjwa yanayoweza kutokea kutokana na kukosa lishe bora

Kwa upande wake Kaimu Afisa Maendeleo  ya Jamii Halmashauri ya Jiji la Arusha  Hanifa Ally alisema kuwa mafunzo hayo ya siku mbili kwa maafisa maendeleo kutoka kata 25 za Halmashauri ya Jiji la Arusha yana lengo la kuwakumbusha na kuwajengea uwezo maafisa hao juu ya Ukatili wa watoto na Lishe bora.

Bi  Hanifa  alisema  kuwa maafisa hao wanajukumu la kuhakikisha kuwa ukatili katika kata zao unakomeshwa  na kujenga jamii bora isiyokuwa na uonevu.

Anaongeza kuwa maafisa hao wanapaswa kuhimiza Lishe bora kwa watoto, kwa kuwa lishe bora ni matokeo ya ukuaji  bora wa watoto  na kwamba jamii inatakiwa kuelimishwa umuhimu wake na hatimaye kuweza kuwahudumia watoto  kwa  kuwapatia mlo kamili.

Hanifa  alisema  kuwa mafunzo hayo yanalengo la kuwajengea uwezo wa kukabiliana na changamoto za wananchi ikiwa ni pamoja na ukatili wa kijinsia  kwa kuhakikisha kuwa wahanga wa ukatili wanapata msaada wa kisheria pindi inapobainika kuna ukatili.

Mafunzo hayo yameandaliwa na  Halmashauri ya  Jiji la Arusha kupitia idara ya maendeleo ya Jamii ikiwa ni kuwajengea uwezo wa kusaidia jamii kupinga ukatili wa kijinsia na namna ya kuhimiza Lishe bora kwa watoto katika jamii.

Matangazo

  • Tangazo la zoezi la utoaji wa Vitambulisho kwa njia ya mtandao laanza, wajasiriamali wenye vigezo kusajili. April 06, 2021
  • Tangazo la Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Arusha July 17, 2018
  • Wanafuzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2019 chaguo la pili Halmashauri ya Jiji la Arusha January 04, 2019
  • Tangazo la Mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani (Robo ya Pili) Tarehe 30/1/2019 January 25, 2019
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • MAAFISA MAENDELEO JIJI LA ARUSHA WATAKIWA KUPINGA UKATILI

    March 16, 2021
  • MBUNGE MAGIGE ATOA MIFUKO 100 YA SARUJI UJENZI SEKONDARI UNGALIMITED

    March 14, 2021
  • WATENDAJI KATA NA WATAALAM WA AFYA WATAKIWA KUSAIDIA HUDUMA YA AFYA

    March 12, 2021
  • SERIKALI YARIDHISHWA NA MIRADI YA MIUNDO MBINU JIJINI ARUSHA

    March 10, 2021
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa