• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

MBUNGE MAGIGE ATOA MIFUKO 100 YA SARUJI UJENZI SEKONDARI UNGALIMITED

Posted on: March 14th, 2021

Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Jiji la Arusha Mathias Shindika akipokea mifuko 100 ya Saruji kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mh.Catherine Magige


Mbunge Magige atoa mifuko 100 ya Saruji  Ujenzi Sekondari Ungalimited  

Na Mwandishi Wetu

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mh. Catherine Magige ametoa msaada wa mifuko 100 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari ya Ungalimited katika  Halmashuri Jiji la Arusha. 

Akikabidhi msaada huo Mh .Magige  alisema kuwa anaunga mkono Jitihada za Serikali ya tano za kujenga miundo mbinu bora ya elimu na kuwezesha wanafunzi kusoma bila shida.

 Alisema kuwa kujengwa kwa shule ya Sekondari Ungalimited kutaondoa adha ya wanafunzi wanaoishi katika Kata hiyo na jirani kujiunga na shule hiyo na hatimaye kuondokana na adha yakutembea muda mrefu  kwenda shule zilizopo nje ya Ungalimited.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Mathias Shindika akipokea Saruji hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk.John Pima alisema kuwa wamefurahi kwa msaada huo na kwamba tayari Ujenzi wa Shule hiyo umeisha anza na unatarajia kutumia Tshs million 310 na kudai  kuwa Serikal inajali na kuthamini michango ya wadau wa maendeleo. 

Alisema kuwa msaada uliotolewa na Mh.Magige ni utachangia katika ujenzi unaoendelea na kuwa hadi sasa ujenzi umeisha tumia zaidi ya million 100 na ni Jengo la Ghorofa. 

Aliongeza kuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mrisho Gambo  alishatoa Nondo zenye thamani ya Tshs million 20 .

Ujenzi wa shule Mpya ya Sekondari Ungalimited utaondoa adha ya Watoto wanaofaulu kujiunga na kidato cha kwanza kupangiwa shule za mbali. 

Matangazo

  • Tangazo la zoezi la utoaji wa Vitambulisho kwa njia ya mtandao laanza, wajasiriamali wenye vigezo kusajili. April 06, 2021
  • Tangazo la Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Arusha July 17, 2018
  • Wanafuzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2019 chaguo la pili Halmashauri ya Jiji la Arusha January 04, 2019
  • Tangazo la Mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani (Robo ya Pili) Tarehe 30/1/2019 January 25, 2019
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • MAAFISA MAENDELEO JIJI LA ARUSHA WATAKIWA KUPINGA UKATILI

    March 16, 2021
  • MBUNGE MAGIGE ATOA MIFUKO 100 YA SARUJI UJENZI SEKONDARI UNGALIMITED

    March 14, 2021
  • WATENDAJI KATA NA WATAALAM WA AFYA WATAKIWA KUSAIDIA HUDUMA YA AFYA

    March 12, 2021
  • SERIKALI YARIDHISHWA NA MIRADI YA MIUNDO MBINU JIJINI ARUSHA

    March 10, 2021
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa