TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazikuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 12-09-2025 hadi 13-09-2025 na hatimaye kuwapangiavituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswakuzingatia maelekezo yafuatayo:-
soma zaidi >>> call_for_interview_advert.pdf
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa