Sunday 14th, August 2022
@
Tanzania husherehekea maadhimisho ya Uhuru tarehe 9 Desemba kila mwaka. Katika siku hii mwaka 1961, Tanzania wakati huo Tanganyika ilipata uhuru kutoka kwa Uingereza. Siku hiyo, Desemba 9, kulikuwa na fashifashi, shamrashamra na furaha jijini Dar es Salaam. Sherehe rasmi zilifanyika Uwanja wa Taifa na wakati huo huo kulikuwa na Mwenge wa Uhuru uliopelekwa kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.
Kwa heshima ya mafanikio haya ya kihistoria, Serikali inafuatilia sekta zake kwa kutaja mafanikio yake, matatizo na changamoto ilizozikabili tangu Uhuru na kupanga mwelekeo wa baadaye.
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa