• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

JIJI LA ARUSHA LAKUSANYA SH. BILIONI 7.5 ROBO YA KWANZA YA MWAKA 2022 /2023

Posted on: October 21st, 2022

HALMASHAURI ya Jiji la Arusha imekusanya mapato ya ndani zaidi ya Shilingi 7.5 bilioni katika robo ya mwaka 2022/2023 tofauti na 2021/2022 ambapo walikusanya Shilingi 6.2 bilioni sawa na ongezeko la Shilingi 3.5 bilioni.

Akizungumza Oktoba 21,2022 Jijini Arusha na Waandishi wa habari ofisini kwake wakati akitoa taarifa ya mapato ya robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/2023, Meya wa Jiji la Arusha,Maximilian Iranqhe amesema fedha hizo zimeelekezwa katika miradi ya maendeleo ikiwemo hospitali ya Jiji na ujenzi wa shule pamoja na mikopo ya asilimia 10 kwa ajili ya vijana ,wanawake na watu wenye ulemavu.

"Fedha hii pia tumeipeleka TARURA zaidi ya sh. bilioni mbili kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu ya barabara jijini hapa,"amesema Iranqhe

Meya huyo alisema kwa upande wa madarasa Serikali iliwapatia sh.bilioni mbili kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 100 ikiwa lengo ni kuhakikisha wanafunzi wanaingia kwa pamoja na sio kwa awamu kama ilivyokuwa ikifanyika hapo awali.

Aidha amesema kuwa ujenzi wa madarasa unaendelea vizuri hadi sasa nakudai kuwa changamoto ya uboreshaji wa miundombinu hiyo kila mwaka unatokana na ongezeko la watoto wanaozaliwa.

Hata hivyo amesema kuwa lengo lao ni kuvuka lengo la asimilia 100 katika robo zote za mwaka huo hivyo anawasisitiza wananchi na wataalamu wa halmashauri hiyo kuendelea kutekeleza wajibu wao.

Pia Mstahiki Meya ameonya kundi la watu ambao wanatoa taarifa za uongo mtandaoni juu ya halmashauri hiyo kushuka kimapato ni vyema wananchi wakazipuuza taarifa hizo kwani sio za kweli na msemaji wa halmashauri hiyo ni Meya au Mkurugenzi na sio mwingine

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO October 29, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa