• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

JIJI LA ARUSHA LATIA FORA UGAWAJI WA MIKOPO, LAMWAGA ZAIDI YA BILIONI 2 ZA MIKOPO KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

Posted on: March 22nd, 2023

*DC Mtahengerwa aipa Kongole Halmashauri ya Jiji la Arusha 

*Meya Iranqhe asema "hii ni funga kazi" 

*Mkurugenzi Chitukuro "pesa zipo za kutosha" 


Na Mwandishi Wetu. 

Arusha Jiji. 

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Felician Mtahengerwa,amepongeza jitihada za Jiji la Arusha kuhakikisha makundi hayo yanawezeshwa na kujikwamua kiuchumi na haijawahi  kutokea Halmashauri kutoa kiasi kikubwa cha fedha namna hiyo.

Amesema kuwa, mikopo hiyo ina nia njema ya kuwakomboa wananchi wake kutoka kwenye hali duni zaidi ili waweze kufanya biashara na kujikwamua kiuchumi.

"Nawaomba sana mkafanye biashara zenye ubunifu ili muweze kurejesha kwa wakati na wenzenu wengine waweze kupata na hata kuiga mfano kutoka kwenu kwani itawasaidia  kutoka sehemu moja kwenda nyingine" amesema Mtahengerwa. 

Naye Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe. Maximilian Matle Iraqhe amesema kuwa kwa mara ya kwanza Jiji la Arusha limevunja  rekodi ya kutoa pesa nyingi kupitia mapato ya fedha za ndani .

Amesema kuwa Jiji  la Arusha makisio ya ukusanyaji wa mapato yameongezeka kutoka  Tsh. 30.5 bilioni kwa mwaka wa fedha 2022/2023  hadi kufikia Tsh. 60.6 bilioni kwa mwaka 2023/2024 sawa  na  ongezeko la asilimia 100 .

"Kupitia fedha hizi  zilizotolewa leo tunatarajia  kuwa na jiji la Arusha litabadilika na vijana kuweza kujikwamua kiuchumi kwa kujihusisha na shughuli mbalimbali na hatimaye kuweza kutengeneza ajira kwa vijana wengine."amesema Iraghe.

Kaimu Mkurugenzi Jiji la Arusha Bw. Hargeney Chitukuro  amesema kuwa,Halmashauri hiyo  imekabidhi hundi  ya Shilingi 2.6 bilioni kwa vikundi 169  vya wanawake ,vijana na watu wenye walemavu. 

Amesema kuwa jumla ya vikundi 205 viliwasilisha maombi yao kwenye mfumo wa TPL-MIS, ambapo uhakiki ulifanyika na kubaini  kuwa vikundi 7 vimejikita katika shughuli zenye mwelekeo wa  uzalishaji kupitia vikundi vidogovidogo na usindikaji.

Aidha amesema kuwa, vikundi 28 vinafanya miradi ya uzafirishaji ,77 vinajihusisha na miradi ya kilimo na ufugaji,na vikundi 93 vinajihusisha na biashara na ujasiriamali ambapo katika hivyo vikundi 169 ndivyo  vilivyokidhi  vigezo.

Aidha amesema kuwa, Halmashauri ya Jiji la Arusha kuanzia julai  hadi sasa hivi walishatoa kiasi cha shs 3. 9 bilioni  kwa vikundi 339 hadi sasa hivi ambapo zimewawezesha kutengeneza  ajira mbalimbali kwa makundi hayo. 

Amesema kuwa,kati ya vikundi hivyo jumla ya vikundi 127 ni vya wanawake,huku vikundi vya vijana vikiwa 32,na watu wenye ulemavu vikiwa 10 .

"Haijawahi kutokea  Jiji la Arusha kutoa mikopo ya fedha nyingi hivi,hivyo tunawaomba  sana mnaopatiwa  mikopo  hii leo mkawe  warejeshaji  wazuri na mkarejeshe  kwa wakati  ili na wenzenu waweze kunufaika kupitia  mikopo  hiyo na kujikwamua  kiuchumi."amesema .


#arusha #tanzania #KaziIendelee 

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO October 29, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa