• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Kikao cha Baraza kota ya pili

Posted on: March 23rd, 2017

Kikao cha Baraza la Madiwani Jiji la Arusha kilichoketi kwa robo ya pili kwa mujibu wa kanuni kimepitisha taarifa mbalimbali za shughuli za maendeleo, kuidhinisha mapendekezo ya Sheria ndogo za Jiji za mwaka 2006 pamoja kupokea taarifa mbalimbali kutoka kwa Taasisi za Serikali zinazotoa huduma kwa wananchi wa Jiji la Arusha.

Akifungua Kikao hicho Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe. Kalisti Lazaro amewataka wajumbe wa Kikao kuwa makini katika kujadili na hoja mbalimbali zilizowasilishwa katika Baraza ili kuweza kuleta Tija kwa wananchi wa Jiji na wanaotegemea kupata maendeleo kupitia vikao.

Naye Mkurugenzi wa Jiji Ndg. Athumani Kihamia alisema kwa kushirikiana na Menegiment amehakikisha kwamba maazimio yote ya vikao vya awali yamezingatiwa na miradi imetekelezwa kwa kiwango cha juu huku thamani ya Fedha ikionekana.

 Kutoka katika taasisi zilizoalikwa katika kikao hicho Mkurugenzi wa AUWSA Eng Ruth Koya alieza changamoto kubwa inayowakabili wananchi kwa sasa kuwa ni uhaba wa Maji na kusema kuwa wanategemea kuanza utekelezaji wa mradi mkubwa ambao utawezesha upatikanaji wa maji Lita Mil 200 wakati mahitaji ni Mil 94 tofauti na sasa ambapo kiasi kinachohitahjika ni Lita Mil 35 tu ambacho hakitoshelezi hata nusu ya mahitaji ya wananchi, hivyo kinachohitajika ni ushirikiano wa wadau na wananchi ili kuweka kufanikisha utekelezaji.

Akiendelea kujibu maswali ya Wah. Madiwani waliyohoji maji yanayopatikana kuwa na Chumvi Eng. Koya alisema maji ya kisima yanayopatikana Arusha kwa kiasi kikubwa yana uwekezekano wa kuwa na chumvi kidogo lakini na hayana Flouride tofauti nay ale ambayo wananchi wanadai ni matamu huwa ni ya yanatokana na Chemchem ambayo hayapatikani kwa wingi na athari zake ni kuwa na Flouride ambayo mtumiaji huwezi kuigundua kwa kunywa lakini athari zake huonekana kwenye meno nk.

Kutoka Tanesco Mhandishi wa Mipango na Ubunifu Eng.Beatus Rwegoshora alifafanua tatizo la kukatika umeme mara kwa mara kuwa Tanesco iko katika maboresho ya huduma kwa wateja nahivyo tatizo hilo litapungua na pia shirika lipo katika mpango mahususi wa kuwafanya wananchi waweze kupata taarifa zote za msingi kupitia simu za kiganjani ambapo huduma hiyo itawafanya wananchi kufuatilia na kupata taarifa kwa wakati na muda wote popote walipo.

Meneja wa Sumatra Mkoa wa Arusha Bw. Allen Mwani amesema kwa sasa Mamlaka hiyo  ipo katika upembuzi yakinifu wa mradi wa kuondoa usafiri wa daladala maarufu,  'Vifodi' ambazo hazina viwango katika usafirishaji wa abiria hivyo mpango uliopo ni wadau kukaa pamoja na kuleta magari makubwa ya usafirishaji wa abiria(City Bus) katika jiji la Arusha.

Mkurugenzi wa Fedha na Utawala AICC Ndg. Savo Mng’ong’o aliwatoa shaka Madiwani waliolalamikia Hospital ya Kituo hicho kutopokea Kadi za Bima ya Afya (NHIF) ilihali wananchi wanahimizwa kujiunga na mfuko huu ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za matibabu kwa alifafanua kuwa huduma hiyo itarejea mwezi Oktoba.

Katika kikao hiki pia Baraza limepitia na kuidhinisha Sheria ndogo za Halmashauri ambapo sasa zitawasilishwa Mkoani kisha Tamisemi kwa ajili ya kuidhinisha kisha kuanza kutumika rasmi. Sheria hizi ni muhimu sana kwa jiji kwa kuwa zinazotumika sasa ni zile za mwaka 2003.



Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO October 29, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa