Kushoto : Mgeni rasmi katika maonesho ya 26 ya wakulima (nane nane) kanda ya kaskazini Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega(MB) akizungumza na wajasiriamali katika banda la Halmashauri ya Jiji la Arusha
Mgeni rasmi katika maonesho ya 26 ya wakulima (nane nane) kanda ya kaskazini Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega(MB) akikagua bustani ya mboga katika banda la Halmashauri ya Jiji la Arusha
****************************************************************
Kauli Mbiu:
“Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa ukuaji wa uchumi wa nchi”
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa