Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe. Dkt. Athumani Kihamia akabidhi rasmi Ofisi leo Tarehe 26 Julai, 2018 kwa Kaimu Mkurugenzi Ndg. Grayson A.Orcado ambaye pia ni mkuu wa kitengo cha Sheria katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa