• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

Posted on: August 21st, 2024

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Mhandisi Juma Hamsini amemkabidhi ofisi Mkurugenzi mpya wa Jiji la Arusha Bwana John Kayombo mapema leo.

Makabidhiano hayo yameshuhudiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Felician Mtahengerwa, Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya, kamati fedha na wataalamu kutoka Halmashauri ya Jiji la Arusha.


Akizungumza katika makabidhiano hayo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Felician Mtahengerwa amesema, Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ipo tayari kutoa ushirikiano kwa Mkurugenzi Kayombo hasa katika kusukuma miradi ya maendeleo.


Aidha, amesisitiza kufanya kazi kwa ushirikiano baini ya viongozi na wataalamu ili kuwaletea maendeleo wananchi wa Jiji la Arusha.


Nae, Mkurugenzi Kayombo amesema yeye kipaombele chake ni ukusanyaji wa mapato kwa asilimia mia Moja na ukamilishaji wa miradi ya maendeleo.


Amesema ili kufanikisha hilo, ushirikiano baina ya viongozi wote na wataalamu ndio njia sahihi na kufanya kazi kwa bidii nakwa ubunifu.


Kwa upande wake Mhandisi Juma Hamsini, amelishukuru Baraza la Madiwani na watumishi wote kwa ushirikiano waliouonesha kwake na kuomba uendelee hata kwa Mkurugenzi Kayombo.


Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Maximilian Iranqe amesema yeye na Baraza lake wapo tayari kushirikiana na Mkurugenzi Kayombo katika ukusanyaji wa mapato na kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa wakati.


Makabidhiano ya ofisi kwa wakurugenzi hao yametokana na mabadiliko ya uteuzi yaliyofanywa mnamo Agosti 14,2024 na Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Sami Suluhu Hassan, kwa Mhandisi Juma Hamsini kuhamishiwa Jiji la Tanga na bwana John Kayombo kupangiwa Halmashauri ya Jiji la Arusha akitokea Jiji la Dodoma.

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO October 29, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa