Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) na wadau wa uchaguzi kuhusu zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura linalotarajiwa kuanza tarehe 18/07/2019 katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.
Mkutano umefanyika jana tarehe 08/07/2019 katika ukumbi wa Mkuu wa wilaya ya Arusha, umezinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (R) Mbarouk Salim Mbarouk na mada ziliwasilishwa na mwakilishi wa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambaye ni mkurugenzi wa Idara ya Daftari na TEHAMA Ndg. Martin Mnyenyelwa
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa