Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema uwanja mpya wa michezo utakaojengwa mkoani Arusha unatarajiwa kupewa jina la Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kuheshimu mchango mkubwa katika upande wa michezo, na kwamba pendekezo hilo limebaki kwa Rais Samia kulipitisha.
Aidha, Msigwa amesema ujenzi huo unaotarajia kuingiza watu 30,000 ni sehemu ya jitihada za Tanzania kuandaa fainali za AFCON 2027 ambazo zitafanyika kwa ushirikiano na nchi za Kenya na Uganda.
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa