Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. John Pima ametoa wiki 2 kwa maafisa watendaji wa kata zote 25 na Mitaa 154 ndani ya Jiji la Arusha hadi kufikia Tarehe15 Julai 2020 vitamvulisho vyote vya wajasiriamali wadogo kuuzwa kwa wajasiriamali nakuisha kwa kipindi icho.
Kikiwa ni kikao cha kwanza cha kazi tangu akabidhiwe ofisi na mtangulizi wake aliyekuwa Mkurugenzi Dkt. Maulid Madeni, ameona ni vyema kukutana ili kuweka mikakati ya utendaji wa kazi kwa maofisa hao ngazi ya Kata na Mtaa.
Dkt. Pima amesema vitambulisho vilivyitolewa na serikali kwa awamu ya pili ni 58,500 ambapo amewataka kuhakisha wanaviuza kwa wakati kwani hadi sasa wapo chini ya malengo yaliyokadiriwa.
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa