Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi azindua rasmi ofisi ya Ardhi Mkoa wa Arusha leo Tarehe 24 Juni 2020.
Ofisi hizi zitatoa huduma zote za sekta ya Ardhi zilizokuwa zikitolewa kikanda sasa kutolewa katika mkoa wa Arusha. Huduma zitazopatikana ni pamoja na Upimaji, Upangaji,Uthamini, Usajili,Utoaji wa hati na utatuzi wa migogoro.
Pichani: Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi akikabidhi ramani ya Mkoa wa Arusha kwa Mkuu wa Mkoa Mhe. Idd Kimanta ili kuweza kusaidia kutatua changamoto za ardhi katika mkoa wa Arusha.
Pichani: Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Idd Kimanta (kushoto), Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Kenan Kihongosi (katikati) na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha (kulia)
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa