Posted on: October 30th, 2023
Halmashauri ya Jiji la Arusha imejipanga kuboresha vijiwe vya kunywea kahawa na wasafisha viatu (Shoe Shiner) kwa kuviongezea thamani.
Mpango huo umewekwa madhubuti kwa ajili yakuongeza vyanzo vya ...
Posted on: October 27th, 2023
Jiji la Arusha kufungwa taa za Barabarani ili kuongeza usalama wa wananchi na mali zao katika maeneo yao.
Hayo yamebainishwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Maximilian Iranqhe ambae pia ni Mweny...
Posted on: October 25th, 2023
Kaimu Mkurugenzi Jiji la Arusha Dkt. Onesmo Mandike amesema kuna umuhimu wa elimu kutolewa zaidi kwa wazazi juu ya umuhimu wa utoaji wa chakula shuleni.
Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungum...