Posted on: September 24th, 2019
Afisa Mifugo wa Jiji la Arusha Dkt. Onesmo Mandike leo Tarehe 23/09/2019 amefanya oparesheni ya ukamataji wa mbwa wanao zurura mtaani wasiokuwa na makazi maalumu na kuwapatia chanjo ya kichaa cha mbwa...
Posted on: September 23rd, 2019
Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa Ndg. Msena N. Bina mapema leo tarehe 23 Septemba 2019 katika ukumbi wa mikutano wa shule ya Arusha Sekondari amekutana na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa...
Posted on: September 17th, 2019
Kaya 13 zenye jumla ya wanafamilia 30 zimekumbwa na janga la moto katika Kata ya Sinoni ambapo paka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika hivyo kupelekea kaya hizo kupeteza mali zao na kukimbia maka...