Start Date: 2023-08-16
End Date: 2023-08-16
Mradi wa BOOST
a) Shule mpya Msasani B yenye Madarasa 23, Matundu ya vyoo 45 kwa gharama ya Tsh. 365,000,000 Mapato ya ndani na Tsh.400,000,000 Serikali kuu.
b)Shule Mpya ya Msingi NAFCO yenye gharama ya Tsh. 400,000,000
Mradi wa SEQUIP
a) Ukarabati shule ya Sekindari Korona kwa gaharama ya Tsh. 828,600,000 ya Serikali kuu na Tsh. 70,000,000 Mapato ya ndani ya Halmashauri.
Miradi Mingine
a) Shule ya Sekondari ya Wasichana Arusha ujenzi wa Madarasa 15, Mabweni 2 na Mtundu ya Vyoo 21 kwa gharama ya Sh. 679,100,000
b) Shule Sekondari Mrisho Gambo, ujenzi wa Mabweni 2 na Bwalo la Chakula kwa Tsh. 160,000,000 mapato ya ndani ya Halmashauri.