Start Date: 2023-01-01
End Date: 2023-01-01
AFYA
a) Zahanati ya Orkereyan imekamilika na inafanyakazi.
b) Kituo cha Afya Mkonoo imekamilika
c) Jengo la Mama na Mtoo Zahanati ya Sombetini limekamilika
ELIMU
a) Madarasa manne (4) Shule ya Sekondari Arusha Terrat yamekamilika