Start Date: 2023-01-04
End Date: 2023-01-04
a) Jengo la Mama na Mtoto Kituo ch afya Moshono gharama zake ni Tsh. 130,000,000 mapato ya ndani ya Halmashauri.
b) Jengo la Upasuaji Kituo cha afya Moivaro kitagharimu Tsh. 70,000,000 mapato ya ndani ya halmashauri.
c) Jengo la wagonjwa wa nje Kituo cha afya Daraja ii litagharimu Tsh. 200,000,000.
d) Jengo la Wagonjwa wa nje Kituo cha Afya Levolosi litagharimu Tsh. 642,000,000 .
MIUNDOMBINU
a) Halmashauri imetenga kiasi cha Tsh. 4,000,000,000 kwa ajili ya uwekaji Taa za Barabarani.