Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anawatangazia Watanzania wenye sifa
na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Jiji la Arusha kuomba nafasi za kazi
zilizotajwa hapo chini baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA/97/228/01/A/25
cha tarehe 29 Aprili, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala.
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa