• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Dr. Madeni kudhamini safari ya kitalii kwa washiriki wa mashindano ya urembo ya Miss Journalism 2018 kutembelea hifadhi ya Taifa ya Tarangire

Posted on: December 14th, 2018

Katika kuhamasisha Utalii wa ndani na wa nje Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr. Maulid Suleiman Madeni amedhamini Safari ya kitalii kwa Washiriki wa Mashindano ya urembo ya Miss Journalism World 2018 kutoka Mataifa 13 duniani kutembelea hifadhi ya Taifa ya Tarangire.

Dkt. Madeni amesema kuwa utalii ni chanzo kimoja wapo kikubwa kinachochangia pato la serikali na fedha za kigeni hivyo kila mtanzania kwa nafasi yake anapaswa kuzipa kipaumbele shughuli za kitalii na kuenzi tamaduni zetu.




  • PICHANI: Mshiriki wa shindano la urembo la Miss Journalism World 2018  kutoka Tanzania WITNESS KAVUMO katika picha ya pamoja na Afisa Habari na Mahusiano  wa Jiji la Arusha Bi. Fatuma Ibrahimu (wa kushoto) Pamoja na Afisa Utamaduni wa Jiji la Arusha Bi. Elizabeth Ncheye (wa kulia) walipotembelea hifadhi ya Taifa ya Tarangire leo Tarehe 14 Disemba, 2018.

........................................................................................................................................................................................................................

Miss Journalism World 2018 ni shindano jipya lililobuniwa kwa mara ya kwanza barani Afrika na kijana wa kitanzania Bw. Samwel Chazi na pia ni shindano la 7 kwa ukubwa Duniani katika tasnia ya urembo.

 lengo kuu la mashindano haya ni kutangaza vivutio vya utalii kimataifa hasa Bonde la Ngorongoro, Mlima Kilimanjaro, Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Olduvai gorge pamoja na kutangaza utalii wa kitamaduni katika nchi yetu


  • PICHANI: Baadhi ya Washiriki wa Mashindano ya urembo ya Miss Journalism World  2018 walipotembelea hifadhi ya Taifa ya Tarangire leo Tarehe 14 Disemba, 2018
  • .............................................................................................................................................................................................

Kilele cha mashindano hayo kinatarajiwa kuwa kesho Tarehe 15/12/2O18 katika ukumbi wa Mount Meru Hotel ambapo atakayeibuka mshindi katika mashindano hayo atapata fursa ya Kuwa balozi wa kimataifa wa Mlima Kilimanjaro na  atakuwa na majukumu ya kutangaza Mlima Kilimanjaro duniani kote.


  • PICHANI: Mwandishi wa habari na mmoja wa wamiliki wa Online Tv  Jijini Arusha Ndg. Gadiel Kitomary (Wa Katikati ) akiwa na baadhi ya  walipotembelea hifadhi ya Taifa ya Washiriki wa Mashindano ya urembo ya Miss Journalism World  2018 Tarangire leo tarehe 14 Disemba, 2018.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI June 19, 2025
  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa