• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Halmashauri ya Jiji la Arusha yawafikia wananchi wa ngazi za chini za Serikali za Mitaa kupata Chanjo ya UVIKO-19

Posted on: October 7th, 2021

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Dkt. John Pima amewaasa  viongozi wote wa ngazi za Kata mpaka mitaa wa Halmashauri ya Jiji hilo kujitokeza kwa wingi kupata Chanjo ya UVIKO-19  ili kuwa mfano katika jamii inayowazunguka na hivyo kuwahamasisha wananchi wengine kupata Chanjo. 

Dkt. Pima ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na viongozi hao katika kikao chenye lengo la kuhamasisha wananchi kupata Chanjo ya UVIKO-19 kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi za Kata ya Oloirieni, iliyopo Jijini Arusha. 

Kimsingi Dkt. Pima amewasisitiza viongozi hao kuwa mabalozi wazuri juu ya chanjo ya UVIKO-19 na kuongeza kuwa chanjo hiyo ni salama kwani kwa kufanya hivyo wataokoa maisha yao na ya wananchi wanaowahudumia. 

Dkt. Pima ameongeza kuwa chanjo hiyo ni salama na kwamba wananchi wajitokeze kwa wingi ili kuweza kuwa salama wao na familia zao. 

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Halmashauri Jiji la Arusha Dkt. Nindwa Maduhu amesema lengo kubwa la kuhamasisha zoezi hilo ni kuweza kuifanya Tanzania kufikia Kinga Jamii ambayo ni asilimia 80 ya watu wote watakaokuwa wamechanja na kwamba wataweza kufanikisha zoezi hilo kwa kuwafikia na kuwashirikisha wananchi wa ngazi za chini kwani kwa kufanya hivyo kuwahamasisha watu wengi kuchanja na hivyo kuwa salama. 

Naye Diwani wa kata ya Olorieni Mhe. Lawrence Kombe ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suhulu Hassan kwa kuwajali wananchi wake kwa kuleta chanjo hiyo na kuwasisitiza wananchi kuendelea  kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo kwa kuchanja kwani kufanya hivyo kuwasaidia kuokoa maisha yao. 

Bw. Thomas Msaka mmoja wa wananchi waliopata chanjo, amesema viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kusogeza huduma hiyo kwa ngazi za chini za kata na mitaa kutawafanya wananchi wengi kujitokeza kwa wingi kupata Chanjo hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI June 19, 2025
  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa