• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

JAMII YAASWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KUZUIA MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU

Posted on: December 2nd, 2019

Siku ya UKIMWI duniani imeadhimishwa kiwilaya  katika viwanja vya TBA  Jijini Arusha Tarehe 2/12/ 2019 na mgeni wa heshima akiwa ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro. Kauli mbiu ya maadhimisho ikisema “JAMII NI CHACHU YA MABADILIKO TUUNGANE KUZUIA MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU” .

Katika maadhimisho hayo watu wanaoishi na Virusi Vya UKIMWI wamegawiwa  Jumla ya kadi 95 za bima ya Afya na Mhe.Gabriel Daqarro pamoja na zawadi kwa washindi walioshiriki mashindano ya michezo iliyofanyika katika maadhimisho hayo.

Akisoma risala kwa mgeni rasmi katika sherehe  hizo Ndg.Tumaini Abdala  kwa niaba ya vijana wanaoishi na virusi vya UKIMWI alisema huduma kwa watu wanaoishi na VVU imeboreshwa kwa kiasi kikubwa kwani upatikanaji  wa dawa kwa sasa ni wakuridhisha pia msongamano  kwa baadhi ya vituo vya kutoa  huduma  umepungua  kwa kiasi kikubwa hivyo kupunguza idadi ya vifo vitokanavyo na ukosefu wa huduma hizo muhimu.

Hata hivyo vijana hao wameainisha changamoto zinazo wakabili kuwa ni ukosefu wa dawa za kuzuia magonjwa nyemelezi, kipato duni, ukosefu wa lishe bora na kunyanyapaliwa .

Akizungumza katika maadhimisho hayo Mhe.Daqarro ametaja kwa asilimia kasi ya maambukizi ya virusi vya VVU nakusema kuwa kwa Tanzania bara maambukizi ni asilimia 4.7 ambapo katika Jiji la Arusha kwa mwaka 2015 maambukizi yalikua ni kwa asilimia 4.1,  2016 ni asilimia 3.6, 2017 ni asilima 2.8 na 2018-2019 ni asilimia 2.2 hivyo taarifa hizi zinaonyesha kwamba maambukizi yanapungua kwa kiasi kikubwa na amewashukuru wadau wote wanaoongoza mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya VVU chini ya ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji.

Sambamba na hayo Mhe.Daqarro ameiasa jamii kwamba kushuka kwa kiwango cha VVU haimaanishi kuwa hakuna UKIMWI kwani katika Jiji la Arusha zaidi ya watu 35,000 wanamaambukizi na kati ya hao watu 8000 wameacha kutumia dawa na  wapo miongoni mwa wana jamii  hivyo jitihada ziendelee kufanywa za kuwakumbusha walioacha kutumia dawa watumie ikiwezekana watafutwe popote walipo.

Akihitimisha Mhe.Daqarro amesema takwimu zinaonyesha kuwa kati ya vijana wa umri kati ya miaka 15 hadi 24 ndio wenye maambukizi  mapya hivyo waratibu wa Afya na wadau mbalimbali waendeshe semina katika shule na vyuo kwani  katika kupambana na VVU ni muhimu kukemea vitendo viovu na hatarishi kwa yatima na watoto walioko katika mazingira magumu.


Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI June 19, 2025
  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa