• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WILAYA ARUSHA ASISITIZA WANANCHI WAJITOKEZE KWA WINGI KUSIKILIZA SERA ZA WAGOMBEA WAO KIPINDI CHA KAMPENI

Posted on: November 18th, 2019

Msimamizi wa uchaguzi Wilaya ya Arusha Ndg.Msena Bina amezungumza na waandishi wa habari juu ya uchaguzi wa serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mapema tarehe 24 Novemba mwaka huu .

Akizungumza na waandishi hao Ndg.Msena amesema  katika kipindi hiki cha  kampeni kuanzia Tarehe 17-23 Novemba 2019  wananchi wajitokeze kwa wingi kusikiliza sera za wagombea wao kwani kiongozi mzuri ndiye atakayeleta maendeleo katika Mtaa wake kwa kuibua miradi na kupeleka katika ngazi husika

Katika Halmashauri ya Jiji la Arusha vyama vilivyobaki ni viwili ambavyo ni Chama cha Mapinduzi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo hivyo jumla ya kata zitakazoshiriki uchaguzi huo ni kata 7  yenye jumla ya Mitaa 15. Kata hizo ni pamoja na Kata ya Moshono Mtaa wa Losirwai, Kata ya Olmoti Mitaa ni Ngaramtoni ya chini, Olmot na Olteves , Kata ya Sinoni Mtaa ni Onjavutiyan, Makao mapya na Olmokea , Kata ya Lemara Mitaa ni  Kikokwaru B, Olepolos, Ilkirowa na Sun flag, Kata ya Sombetini ni Mtaa mmoja wa Banda mbili, Kata ya Daraja II Mtaa wa Sanare na Darajani na Kata ya Unga ltd Mtaa wa Tindigani.

Aidha Ndg. Msena Bina ameeleza kuwa nafasi zinazogombewa ni Mwenyekiti wa Mtaa/Kijiji nafasi 3, wajumbe mchanganyiko nafasi 10 pamoja na wajumbe wanawake[viti maaluM] nafasi 8.

Hivyo jumla ya mitaa katika Hamashauri nzima ni 154 kati ya hiyo ni mitaa 151 ndiyo iliyopita bila kupingwa kwa Nafasi ya mwenyekiti. Ndg.Msena ameendele kusema kuwa katika uchaguzi huu haki imetendeka na kanuni za uchaguzi zimefuatwa hivyo uchaguzi ni wa huru na haki.

  

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI June 19, 2025
  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa