• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Kituo cha Afya Murriet kuanza kutumika mwishoni mwa mwezi huu

Posted on: September 3rd, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo amempongeza Eng. Samuel Mshuza, Kaimu Mhandisi wa Jiji kwa hatua nzuri ya ujenzi wa  kituo cha afya Murriet  ulipofikia na pia amewaagiza kuwa ifikapo Tarehe 30 ya mwezi huu ujezi wa kituo hicho uwe umekamilika na huduma kwa wananchi zianze kutolewa mara  moja.

Ameyasema hayo hapo jana alipokuwa  katika ziara yake ya Afya Jijini hapa ambapo alipata fursa ya kutembelea  vituo vya afya Murriet na Moshono pamoja na hospitali ya wilaya ya Arusha mjini iliyopo kata ya Engutoto.

Wakati wa ziara yake katika ujenzi wa hospitali ya wilaya iliyopo kata ya Engutoto Mkuu wa Mkoa alisema kuwa serikali kwa kutambua umuhimu wa afya kwa wananchi wake imetenga kiasi cha fedha sh. Milioni 535 kwa ajili wa ujenzi huo wa hospitali ya wilaya.

“Katika upande wa dawa serikali imefanikiwa kutenga kiasi cha fedha cha sh. Milioni 800  katika jiji la arusha ambapo hali ya upatikanaji wa dawa ni sawa na 98% ukilinganisha na hapo awali ambapo serikali ilikuwa ikitenga  kiasi cha sh. Milioni 400 sawa na asilimia 49%  ya upatikanaji wa dawa” alisema Mhe. Gambo.

Sambamba na ziara hiyo pia mkuu wa mkoa alipata fursa ya  kusikiliza kero za wananchi waishio kata ya olasiti ambapo kilio chao kikubwa kwa serikali ni uhaba wa umeme, maji na barabara.

Akizungumza wakati wa mkutano huo Mkuu wa Mkoa  alisema kuwa kwa Jiji kubwa kama la Arusha ni aibu kupatikana baadhi ya maeneo yenye uhaba wa upatikanaji wa huduma ya  maji umeme na miundombinu mibovu ya barabara hivyo atashirikiana na wataalamu waliopo Jijini hapa na kutatua changamoto zinazowakabili kwa muda mrefu.

 “Serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. John Pombe Magufuli imeikabidi mamlaka ya maji safi na maji taka mkoani hapa (AUWSA) zaidi ya sh. Bilioni 476 kuhakikisha upatikanaji wa huduma hiyo unakuwa ni wa uhakika pia katika Jiji letu” alisema mhe. Gambo wakati wa mkutano huo

 Pia  alitoa nafasi kwa wataalamu wa kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo Wakala wa Barabara za Mijini na vijijini (TARURA), Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (AUWSA) kwa ajili ya kutoa ufafanuzi juu ya changamoto zilizoanishwa na wananchi hao  ambapo kwa upande wake Ndg. Fodia Mwankenja, Meneja  wa TARURA  alisema tayari wameshakubaliana na viongozi wa kata hiyo kutembelea mtaa wenye changamoto ya kivuko cha waenda kwa miguu na kuahidi  uwa ujenzi utaanza mara moja endapo watajiridhisha kuwa hali ya barabara inapitika.

Wakati akifunga mkutano huo Mkuu wa Mkoa aliahidi kutoa mifuko ya simenti 100 kwa ajili ya ujenzi wa kivuko hicho utakapoanza .

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI June 19, 2025
  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa