• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Serikali yaitaka viongozi wa ngazi zote kusimamia utekelezaji wa miradi TASAF kwa weledi

Posted on: October 25th, 2021

Na Mwandishi wetu 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Nchengerwa amewataka Viongozi wa ngazi zote kusimamia utekelezaji wa miradi ya TASAF kwa weledi ambapo jumla  ya Miradi 1500 inatarajiwa kutekelezwa katika  awamu ya nne ya Mradi wa kupunguza Umasikini Tanzania TASAF kwa mikoa ya Mwanza, Geita,  Simiyu, Njombe na Arusha.

Nchengerwa ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua Kikao kazi cha kuzindua utekelezaji wa awamu ya nne ya Mradi wa kupunguza Umaskini Tanzania (TPRP IV), Jijini Arusha ambapo alitoa rai kwa viongozi  wa ngazi zote kusimamia  miradi hiyo  kuhakikisha  inatekelezwa kwa thamani halisi. 

Mhe. Nchengerwa amsema kiasi cha shilingi Bilioni 130 katika mikoa hiyo mitano itatolewa kwa lengo la kunyanyua kaya masikini  hivyo amesisitiza utekelezaji wa miradi ufanyike kwa weledi ili fedha hizo zikatumike kwa makundi ya watu waliokusudiwa.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amesema Mkoa wa Arusha umepokea kiasi cha shilingi bilion 1.5 kwa kipindi cha mwezi Julai mpaka Oktoba kwa ajili ya kuratibu miradi wa kaya masikini ya  TASAF na kuahidi kutekeleza nakusimamia kikamilifu na kwamba hawatomvumulia yeyote atakayefanya vitendo vya ubadhilifu wa fedha hizo. 

Kwa upande wake Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo amesema uzinduzi wa awamu ya nne kufanyika mkoa wa Arusha ni fursa kwa watu na kaya maskini kwani kutasaidia kupunguza makali na hali duni za maisha ya wananchi. 

Jumla ya Halmashauri 33 kutoka Mikoa  mitano itanufaika na mradi wa awamu ya nne  wa kupunguza umaskini Tanzania TASAF.


Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI June 19, 2025
  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa