• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

TUMETENGA ENEO LA HEKARI TANO (5) TUNATAKA KUJENGA KITUO CHA WATOTO WA MTAANI' - Meya Iranqhe

Posted on: April 13th, 2023

Na Mwandishi Wetu 

Arusha.  

Kila ifikapo April 12 ya kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya Kimataifa ya watoto wa mtaani ambapo katika Jiji la Arusha Mstahiki Meya wa Jiji hilo Mhe. Maxmillian Matle Iranqhe alikua Mgeni Rasmi katika tukio maalum la kuadhimisha siku hiyo iliyoandaliwa na Kituo Cha Amani Center kwa lengo kuikumbusha Jamii kuwa jukumu la kuwalea watoto wa mtaani ni la kila mmoja, Tukio ambalo lilitanguliwa na Maandamano ya Watoto wa Mtaani kuanzia katika Mitaa ya Soko Kuu Mjini Kati, Stendi Kuu ya Mabasi ya Mkoa, Mnara wa Uhuru (Makumbusho) hadi katika Uwanja wa Mviringo Kaloleni Jijini Arusha. 


Akizungumza Wakati wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya watoto wa mtaani mwaka huu Meya wa Jiji la Arusha Mhe Maxmillian Matle Iranqhe pamoja na kuipongeza taasisi ya Amani' Center ametoa  Rai kwa Taasisi mbalimbali za kijamii  na wadau wa Maendeleo Jijini Arusha na nje ya Jiji hilo kuhamasika kuungana na jitihada za wazi zinazofanywa na Jiji hilo pamoja taasisi kama Kituo Cha Amani Center amesema Jiji la Arusha imeafanikiwa kutenga eneo la hekari tano (5) katika Kata ya Olmoti kwa ajili ya kuwajengea makazi watoto wa mtaani ikiwa ni pamoja na kuwafungulia Shule ya ufundi katika eneo hilo.

Meya amesema lengo la jitihada hizo ni kukabiliana na wimbi la ongezeko la watoto wa mtaani Jijini humo na kuliokoa Taifa dhidi ya makundi hatari ya majambazi, wezi, vibaka, watumiaji wa madawa ya kulevya na athari zingine mbalimbali kwani kwa mazingira wanayokulia ni rahisi zaidi kuishia kwenye makundi ya aina hiyo hali inayopelekea kutokua na nguvu kazi ya Taifa ikizingatiwa kua Vijana ni Taifa la Sasa na baadaye.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI June 19, 2025
  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa