• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Uzinduzi wa kampeni ya Jiongeze Tuwavushe Salama Halmashauri ya Jiji la Arusha

Posted on: July 16th, 2019

‘’Jiongeze tuwavushe salama” ni Kampeni ya kuongeza uwajibikaji katika kupunguza /kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi na vile vya watoto wachanga ambapo kitaifa ilizinduliwa rasmi mwezi  Novemba  mwaka 2018 na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan na katika mkoa wa Arusha ilizinduliwa mwezi  Aprili mwaka  huu na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Mashaka Gambo.

Uzinduzi huo wa kampeni ya Jiongeze Tuwavushe Salama umefanyika mapema leo Tarehe 16/07/2019 katika ukumbi wa Golden Rose ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro.

Katika uzinduzi wa kampeni hiyo Mhe. Daqarro alisisitiza ushirikiano wa wataalamu wote katika ngazi ya wilaya ya Arusha na jamii ipatiwe elimu ya kutosha  ili kuleta matokeo chanya ya kampeni  husika ili kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi.

“ Kwa mujibu wa utafiti uliofanyika mwaka 2015-2016 vifo vitokanavyo na uzazi kwa kina mama ni 556 kati ya vizazi hai 100,000 kiwango hiki ni kikubwa ukilinganisha na mwaka 2012 ambapo vifo vya wanawake ilikuwa ni 452 na kwa upande wa watoto ni vifo 34 kati ya vizazi hai 1000 ukilinganisha na miaka iliyopita ilikuwa ni vifo 25”alisema Mhe. Daqarro

 Naye Mganga Mkuu wa jiji la Arusha Dkt. Simon Chacha alieleza sababu zinazo pelekea vifo vya uzazi kwa kina mama na watoto wa changa ni pamoja na Ucheleweshaji wa mama wajawazito ngazi ya Jamii  unaotokana na baadhi ya mambo kama Mila na Desturi katika jamii mfano  kujifungulia majumbani.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI June 19, 2025
  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa