• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA WATOA SALAMU KWA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA

Posted on: November 29th, 2019

Kundi la wasanii kutoka Mkoa wa Dar es salaam wakiongozwa na Ndg. Mbwana Himam Kipitu ambaye ni promota wa wasanii Tanzania kutoka kampuni ya “Arbaab Tv Intertainment” wamefanya ziara katika mkoa wa Arusha na kutembelea ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji Dkt. Maulid S. Madeni ikiwa ni ishara ya kutambua shughuli zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano ambapo katika ziara hiyo pia wamekutana na viongozi wa Umoja wa Vijana CCM wilaya ya Arusha.

Akizungumza katika hafla hiyo katibu wa Umoja wa Vijana CCM wilaya Ndg. Ibrahim Kijana amewashukuru na kuwakaribisha wasanii hao katika Jiji la Arusha na kuwaahidi kwamba kwa wakati mwingine watapanga muda kwaajili yakuja kuibua vipaji hivyo mchango wao katika Jamii niwamuhimu. Naye mwenyekiti wa umoja wa vijana ccm wilaya Ndg. Abubakari Saipulan amewaeleza wasanii hao kuwa wamekuja kipindi kizuri ambacho Arusha yote ni yakijani kipindi ambacho mitaa 154 ipo ndani ya Chama Cha Mapinduzi kwa ushirikiano mkubwa, hamasa na miundombinu iliyopangwa kimkakati na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha.

Hata hivyo mwenyekiti huyo wa vijana amewapongeza na kuwaasa wasanii hao kufikisha ujumbe kwa wananchi na kukiunga mkono chama cha Mapinduzi hususani mwenyekiti wake Dkt. John Joseph Magufuli  kwa kuwafikishia wananchi yale yote mazuri yanayofanywa na serikali yao kwa njia ya sanaa hivyo sio tu kuburudisha bali kuelimisha na kuhabarisha jamii.

“Mkawasimulie huko muendako kwamba kuna mambo makubwa yamefanywa na Mhe. Rais katika Jiji hili la Arusha kwa hisani ya chama cha Mapinduzi ikiongozwa na Mkuu wa wilaya Mhe. Gabriel Daqarro na Mkurugenzi wa Jiji Dkt. Maulid Madeni” aliongezea

Aidha Dkt. Madeni amewapongeza wasanii hao kwa kuwa kioo cha jamii na kuwa sehemu ya burudani lakini pia amewaasa kuufanya muziki kuwa sehemu ya ajira hivyo ni vyema Jamii ielewe na kuikuza sekta hii kwa kuiunga mkono, kuwasaidia na kuwaimarisha wasanii hivyo muziki uwe wa kimataifa ili kupunguza kundi kubwa la vijana wasio na ajira, Pia amewasisistiza wakawe chachu ya kutunza amani na usalama wa Nchi .

Sambamba na hayo Dkt. Madeni ameongeza kuwa wasanii sio tu kuburudisha bali kuna mambo mengi mazuri yanafanyika kupitia sanaa kuonyesha nini kinafanyika ndani ya Nchi na amewasihi kuendelea na moyo huo wa kuonyesha kila kitu kizuri kinachofanyika  katika Nchi na kuendelea kuandika mashahiri yanayojenga na sio kuigawa Jamii au kubomoa Jamii kwa kuleta migongano baina ya viongozi kwa viongozi au serikali na wananchi. “Hivyo sanaa yenu itumieni zaidi katika kuwaunganisha watanzania na sio kuwafarakanisha ndivyo Mwenyeenzi Mungu atawapa thawabu” alisema Dkt. Madeni.

Akiiaga ofisi ya Mkurugenzi kwa niaba ya wasanii hao Ndg. Mbwana Himam Kipitu amemshukuru Mkurugenzi wa Jiji kwa mapokezi mazuri na kwamba wameguswa sana na mazungumzo hayo hivyo zawadi pekee wanayoweza kumpatia ni kumuombea dua kwa mwenyeenzi Mungu katika uongozi wake.  


Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI June 19, 2025
  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa