• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

“WATU WENYE ULEMAVU WAPEWE KIPAUMBELE ZAIDI KATIKA UGAWAJI WA MIKOPO” MKUU WA WILAYA YA ARUSHA

Posted on: December 3rd, 2019

Maadhimisho ya siku ya walemavu duniani yamefanyika mapema leo Tarehe 3/12/2019 katika ukumbi ya shule ya msingi ya Arusha mgeni wa heshima akiwa ni Mhe. Gabriel Daqarro akiambatana na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt Maulid S. Madeni, Mganga mkuu wa Jiji Simon Chacha na viongozi wa kamati ya watu wenye ulemavu wilaya ya Arusha. Katika maadhimisho hayo kauli mbiu ikiwa ni “Ufikikikaji kwa maisha yajayo utakua bora zaidi”.

Akisoma risala kwa mgeni wa heshima kwa niaba ya watu wenyeulemavu Ndg. Anziran Saidi amesema wanaishukuru Halmashauri ya Jiji kwa kutenga asilimia 2 ya mapato kwaajili ya kutoa mikopo kwa vikundi vya watu wenye ulemavu  ambapo vikundi 23 vimepata mikopo yakiasi cha milioni 100, pamoja na Halmashauri kugharamia watu wawili wenye ulemavu kushiriki maadhimisho ya siku ya walemavu katika ngazi ya Taifa .

Katika maadhimisho hayo watu 15 wenye ulemavu wa viungo wamegawiwa viti mwendo, mafuta kwaajili ya walemavu wa ngozi, miwani ya kupunguza mwanga wa jua pamoja na kofia kwaajili ya kukinga na mionzi ya jua .

Hata hivyo watu wenye ulemavu wameainisha changamoto wanazokumbana nazo kuwa ni ukosefu wa ofisi za kufanyia shughuli zao, muamko mdogo wa fursa ya mikopo, marejesho ya vikundi vya watu wenye ulemavu kusuasua, upungufu wa vifaa visaidizi  kama viti mwendo, fimbo nyeupe, mafuta ya albino, magongo pamoja na uchache wa wakalimani wa lugha ya alama kwa viziwi.

Akizungumza katika hafla hiyo Mhe.Daqarro amesema katika Jiji la Arusha takwimu zinaonyesha  kuwa wapo watu wenye ulemavu 627 kati ya hao wanawake ni 305 na wanaume ni 322 ambapo wenye ulemavu wa wa viungo ni 342, wenye ulemavu wa ngozi ni 52, wenye ulemavu wa kusikia ni 53, wenye ulemavu wa akili ni 128 na wenye ulemavu wa uti wa mgongo ni 5.

Pia ameongeza kua katika Jiji la Arusha jumla ya watu 46 wenye ulemavu wamepatiwa mikopo isiyokua na riba yenye thamani ya Millioni 9.2 lakini pia watu wemye ulemavu 74 kutoka katika kata zote za wilaya ya Arusha   walipatiwa viti mwendo 74 pamoja na pikipiki 2 za matairi matatu yenye thamani ya Millioni 7.6 pamoja na watu 360  wamegawiwa kadi za  bima ya afya bure.

Mhe. Gabriel Daqarro amehitimisha maadhimisho hayo kwa kuwasihi Maafisa ustawi wa jamii  na Mkuu wa kitengo hicho kuwapa kipaumbele watu wenye ulemavu kuliko watu wengine  hivyo kwa kila robo ya mwaka  kati ya vikundi vitakavyo peleka maombi au kusajiliwa kwaajili ya kupatiwa mkopo kundi la walemavu visipungue vikundi vitano vitakavyo patiwa mkopo.

 

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI June 19, 2025
  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa