• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Ziara ya kamati ya Siasa ya halmashauri kuu CCM wilaya ya Arusha kutembelea miradi

Posted on: October 1st, 2019

Kamati ya Siasa ya halmashauri kuu wilaya ya Arusha ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi Bwana Joseph Masawe wametembelea miradi ambayo imetekelezwa na ilani ya chama hicho kwa mwaka wa Fedha  2018/2019 leo Tarehe 1 Octoba 2019.

Kamati hiyo imetembelea miradi 10 ikiwemo Tenki la maji ESAMI, Ujenzi wa jengo la wodi ya wazazi hospitali ya wilaya, Matundu ya vyoo 20 shule ya msingi Murriet Darajani, Matundu ya vyoo 10 shule ya msingi sokoni I, Ujenzi wa Daraja la Shaulalu kata ya Sokon 1, ujenzi wa madarasa 4 ya ghorofa shule ya Sekondari Sombetini,ujenzi wa uzio katika kituo cha afya daraja II,ujenzi wa barabara ya Masjid Quba na barabara ya Sanawari pamoja na Vikundi vya wanawake, vijana na wenye ulemavu vilivyopewa mikopo kata ya Ngarenaro.

Akizungumzia miradi hiyo iliyotembelewa Mwenyekiti Masawe amesema kuwa ziara hiyo ni ya kawaida na ikiwa na lengo la kuhakikisha yale ambayo yaliahidiwa chini ya ilani ya Chama cha mapinduzi kupitia Rais Dkt. John Pombe Magufuli yanatekelezwa kwa wakati.

Aidha amesema chama cha mapinduzi kiko makini katika kuhakikisha changamoto zote zinatatuliwa pamoja na yale waliyoahidi kupitia serikali ya awamu ya tano yanatekelezwa ikiwemo suala la Elimu, Afya, Miundombinu ya barabara pamoja na maji.

Kamati hiyo imeridhishwa na ujenzi wa matundu 30 ya vyoo katika shule mbili za msingi Murriet na Sokon 1 ambayo yako katika hatua za umaliziaji huku akitoa maagizo kwa mkandarasi aliyepewa kazi ya ujenzi wa madarasa 4  ya Ghorofa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini kukamilisha ujenzi huo unakamilika mapema ndani ya muda wanyongeza aliopewa  kwani ameonekana akichelewesha ujenzi kinyume na mkataba unavyoelekeza.

Pia kamati hiyo ya utekelezaji wa chama cha Mapinduzi kimewapongeza watendaji wa serikali ambao wamekuwa makini kusimamia miradi ya maendeleo hasa katika kuelekea katika kipindi hiki cha uchaguzi wa serikali za mitaa. Joseph Massawe amesisitiza pia ushirikiano baina ya watumishi na wakandarasi ili kupelekea miradi inapoanzishwa itekelezwe kwa wakati na kuepusha vikwazo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI June 19, 2025
  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa