• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Dkt.Madeni aendesha Operesheni Maalum ya Ukusanyaji Mapato Jiji la Arusha

Posted on: September 10th, 2018

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha  Dr. Maulid Suleiman Madeni amezindua operesheni maalum ya ukusanyaji wa mapato ya Jiji la Arusha ikiwa ni kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuhakikisha kila mfanyabiashara analipa kodi ili kusaidia watanzania wanyonge hususani katika sekta nyeti ya afya na elimu.

Katika operesheni hiyo ya mapato aliyoizindua hapo jana katika Soko Kuu lililopo Jiji la Arusha, Dr. Madeni aliambatana na wataalam mbalimbali wa Halmashauri akiwemo Mweka Hazina wa Jiji Bw. Mwana Msangi, Mchumi wa Jiji Bi. Anna Mwambene, Afisa Biashara Wa Jiji Bw. Godfrey Edward na Mhasibu Wa Mapato Bw. Ben Massangano katika kuhakikisha zoezi linafanikiwa kwa asilimia zote.

Pia Mkurugenzi amempangia majukumu mengine msimamizi wa soko hilo Bw. John Ruzga kwa kushindwa kusimamia mapato ya Halmashauri kwa kukusanya shilingi milioni 23 kwa mwezi badala ya shilingi milioni 31,610 iliyotarajiwa sambamba na changamoto nyingine za wamiliki wa vibanda na vizimba kukodisha wafanyabiashara wengine kinyume na utaratibu.

Operesheni hiyo ni endelevu ambapo Dr. Madeni atafanya ziara katika masoko na vyanzo vyote vya mapato vilivyo chini ya Halmashauri kwa lengo la kuhakikisha wafanyabiashara wote na wamiliki wa vibanda wana leseni za muda husika, risiti halali za kodi  na mikataba halali ya halmashauri sambamba na kufungia vibanda kwa wafanyabiashara wote ambao hawana vielelezo vya kutosha.


Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. Maulid Madeni (kulia) akiongozana na Afisa Biashara wa Halmashauri ya Jiji  wakati wa ziara yake ya kukagua vyanzo mbalimbali vya mapato katika Soko Kuu la Jiji  wakati wa ziara yake aliyoifanya jana (Jumatatu Septemba 10, 2018).


Mkurugenzi wa Jiji la Arusha (kulia) akizungumza na mmoja wa Wafanyabiashara wa matunda katika Soko Kuu la Arusha wakati wa ziara yake ya kukagua vyanzo mbalimbali vya mapato katika Soko hilo hapo jana (Jumatatu Septemba 10, 2018) ambapo aliambatana na timu ya watendaji  wa Halmashauri ya Jiji hilo.

Matangazo

  • Tangazo la zoezi la utoaji wa Vitambulisho kwa njia ya mtandao laanza, wajasiriamali wenye vigezo kusajili. April 06, 2021
  • Tangazo la Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Arusha July 17, 2018
  • Wanafuzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2019 chaguo la pili Halmashauri ya Jiji la Arusha January 04, 2019
  • Tangazo la Mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani (Robo ya Pili) Tarehe 30/1/2019 January 25, 2019
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • MAAFISA MAENDELEO JIJI LA ARUSHA WATAKIWA KUPINGA UKATILI

    March 16, 2021
  • MBUNGE MAGIGE ATOA MIFUKO 100 YA SARUJI UJENZI SEKONDARI UNGALIMITED

    March 14, 2021
  • WATENDAJI KATA NA WATAALAM WA AFYA WATAKIWA KUSAIDIA HUDUMA YA AFYA

    March 12, 2021
  • SERIKALI YARIDHISHWA NA MIRADI YA MIUNDO MBINU JIJINI ARUSHA

    March 10, 2021
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa