TAARIFA YA KATA YA OLASITI
HISTORIA FUPI YA KATA
Kata ya Olasiti ni miongoni mwa kata 25 za jiji la Arusha,Kata ina jumla ya mitaa mitano ambayo ni Olasiti kati,Oloresho,kimindorosi,Olkereyani na Jumla ya wakazi waishio katika kata ya Olasiti ni Burka wakazi wa kata hii hujishughulisha na shughuli mbalimbali za kiuchumi ikiwapo kilimo na Ufugaji
Kata ina jumla ya watumishi nane (8), kama inavyoonekana kwenye jedwali
IDARA
|
SN
|
JINA LA MTUMISHI
|
CHEO
|
UTAWALA
|
1 |
Emmanuel S. Mhauka
|
Afisa Mtendaji wa Kata
|
|
2 |
Betseba Mpangala
|
Afisa Mtendaji wa Mtaa
|
3 |
Asha M Isuja
|
Afisa Mtendaji wa Mtaa
|
|
KILIMO
|
4 |
Upendo S Mushi
|
Afisa kilimo
|
MIFUGO
|
5 |
Jeromine Shirima
|
Afisa Mifugo
|
AFYA
|
6 |
Dickson Ndumbalo
|
Afisa Afya
|
ELIMU
|
7 |
Zuhura Mringo
|
Mratibu Elimu
|
Maendeleo ya Jamii
|
8 |
Vicky Moshi
|
Afisa Maendeleo
|
HUDUMA ZA JAMII
Kata ya Olasiti ina jumla ya Shule za serikali 4 na za binafsi 9. Ambapo shule za msingi za serikali zipo 2 na shule za sekondari za serikali zipo 2, na shule za msingi za binafsi zipo saba na shule za sekondari za binafsi zipo 2.
Kata ya Olasiti kwa sasa haina zahanati wala kituo cha afya cha serikali.
Katika kata ya olasiti hakuna miradi ya maendeleo yoyote katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/2017 inayotekelezwa.
MIPANGO YA KATA KATIKA KUTOA HUDUMA BORA
Katika kutoa huduma bora kwa wananchi kata imekua mipango ifuatayo;
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa