IDARA YA MIFUGO/UVUVI
JIJI LA ARUSHA
Halmashauri ya Jiji la Arusha ina jumla ya ng’ombe 42,071 kati yao, ng’ombe 10,898 ni wakisasa na ng’ombe 31,173 ni wakienyeji, Mbuzi 31,374, Kondoo 15,561, Punda 1,200, Nguruwe 4,970, Sungura 1,400, Kuku wakienyeji 76,426 na Kuku wakisasa 350,000. Mifugo hii inahudumiwa na klinikimbilizamifugo, vibanio vine nakituokimoja cha uchunguziwamaradhiyamifugo (Tanzania Veterinary Laboratory Agency).
Vilevilekunaviwandavyakusindikanyama, maziwanangoziambavyovikuwanatijakubwasanakwawafugaji, kwanivimeongezasanathamaniyamazoyamifugoviwandahivyoni Arusha Meat Company (kinamilikiwanaHalmashauri), Happy Sausage Company na Arusha Meat King.
HatahivyoHalmashauriinaviwandaviwilivyakusindikamaziwaambavyoni Arusha Diary, na Arusha International Diary ambavyovinaongezauborawamaziwayanayotumiwanawananchiwaJijihili.
Vikundivyawafugaji
KUKU
Kuna vikundi 6 vyawafugajiwa kuku katika Kata zaSokon I, EngutotonaLemara. Vikundihivihufuga kuku kwamtindowakopa kuku lipa kuku ambapokilamwanakikundianapewa kuku 10 ambaowakishazalishaanarudisha kuku 10 miteteakwenyekikundiiliwapewewengine.
NG’OMBE
Kuna vikundi 6 vyawafugajing’ombekutokakatika Kata zaSokon I, Lemara, BaraanaKimandolu. Wafugajihawahupatiwamafunzombalimbalijuuyautunzaji bora wamifugo, ujenziwamabanda bora ainayamalishonaulishajipamojanausindikajiwabidhaazamaziwa. Mafunzohayohutolewanawatumishiwaugani.
HUDUMA YA UHAMILISHAJI
Ng’ombewamaziwahupandishwakwanjiayauhamilishaji (Artificial Insemination). IdadiyawahamilishajindaniyaJiji la Arusha n inane (8) ambaohuamilishawastani wan g;ombe 78 kwamwezinakatiyahaong’ombewaliohamilishwaniasilimia 88 yang’ombehushikamimba. Njiahiiimeonekanakuwayafaidakwaning;ombehawaambukizanimagonjwayakizazikamailivyokwawanaopandishwakwakutumiadume. Njiahiininzuriimpatiayomfugajikizazikilichoboranachenyetijayaaniupatikanajiwamaziwayakutoshauborawanyamanangozi.
MABWAWA YA SAMAKI
HalmashauriyaJijiinajumlayamabwawatakribani 38 yaliyokokatika Kata zaKimandolu, Moshono, Themi, Lemara, Sokon I, Terrat, Sombetini, Elerai, OlasitinaEngutoto. Mabwawahayayamepatikanabaadayawafugajikupewamafunzoyaufugaji bora wasamakinawafugajikuanzakufugakwaajiliyamatumiziyanyumbani, biasharanamapambo.
PEMBEJEO ZA MIFUGO
Halmashauriinamaduka 45 yapembejeozamifugoambayohutoahudumakwawafugajikwakuuzapembejeoambazonipamojanamadawambalimbaliyakuogesheamifugo, kukingamifugodhidiyamagonjwayaenezwayonakupe, mbung’onainzi (biting flies), Madawayatibakwamifugokama Antibiotics, Anthelmintic,Sulphur drugs naAntiparasiticspamojanamadawakunavyakulambalimbalivyamifugonaviinilishe. Katikamadukahayayapembejeohuuzavifaatibavyamifugokama surgical equipments& pm kits navifaavinginevyo (burdizzo, disbeeding, iron, hooftreamer, deabeakers, embryotomy wire, syringes, thermometer the toscope)
KITUO CHA MAFUNZO
Halmashauri ina kituo kimoja cha mafunzo kwa wakulima ambacho kiko katika Kata yaThemieneo la nanenane. Katika kituo hiki kuna miradi inayoendelea ambayo ni ufugaji wa maziwa. Aidha kuna ng’ombe wawili na ndama mbili (2) nakiasi cha utoaji maziwa kwasasa ni lita 9 kwasiku. Piatunajihusishanasuala la ufugajisamakipamojanaupandajiwamajaniyamalishokwamifugo.
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa