• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

WATENDAJI KATA NA WATAALAM WA AFYA WATAKIWA KUSAIDIA HUDUMA YA AFYA

Posted on: March 12th, 2021

Watendaji kata na Wataalam wa Afya watakiwa kusaidia huduma ya afya 

Na Mwandishi wetu

Watendaji kata katika Halmashauri ya Jiji la Arusha watakiwa kushirikiana na wataalm wa afya katika kuhakikisha wananchi wa kata zao wanapata huduma stahiki pamoja na  kuendelea kuwa wawajibikaji kwa kufanya kazi zao kwa uadilifu na kufuata  dhana ya ushirikishwaji  hatimaye  kutoa huduma ya  Afya yenye ufanisi.

Akizungumza na Watendaji kata  wakati akizindua kampeni ya Nisaidie niishi mimi na mama yangu   Kaimu Mkurugenzi Bi. Namnyaki  Laitetei alisema  kuwa  huduma ya afya inahitaji ushirikiano baina ya watendaji na wataalamu wa afya kwa kuwa afya bora ni msingi wa maendeleo ya jamii yeyote Duniani.

Bi. Laitetei  alisema  kuwa huduma bora ya afya ni matokeo ya maendeleo katika jamii yeyote na kwamba huduma bora itafikiwa kwa ushirikiano wa wadau wa afya watendaji wa kata wakiwa ni miongoni mwao.

“Mnapaswa mfanye kazi zenu kwa kutekeleza na kufuata misingi ya Utawala bora kwa kufanya ushirikishwaji wa wadau mbalimbali ili kuendelea kutoa huduma zenye ufanisi” alisema  Laitetei

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Dk. Kheri Kagya alisema kuwa huduma za afya katika Jiji la Arusha zinafanywa kwa weledi mkubwa na kuwataka kuendelea kusaidia upatikanaji wa huduma hiyo kwa wananchi ikiwa ni kuunga mkono jitihada za Mh.Rais Dk.John Pombe Magufuli kwa kuhudumia wananchi kwa moyo bila kuchoka .

‘’Hatutaki na hatuwezi kukubali  kile wanachotuletea Serikali kipotee, ni muhimu sote tuendelee kuwa wasimamizi wazuri wa vitendea kazi na vifaa tiba ili vitumike kwa malengo yaliyokusudiwa” alisema Dk.Kagya.

Dk.Kagya alisema matarajio ya serikali nikuona wananchi wanapata huduma bora na katika kufikia mafanikio hayo kila mtu hususani wataalm wa afya na watendaji wa kata wanajukumu lakusaidia kufikia nia njema.

Halmashauri ya Jiji la Arusha ni miongoni mwa Halmashauri zinazofanya vizuri katika huduma ya afya  hapa nchini.


Picha za  matukio kikao cha Wataalm wa Afya na Watendaji wa Kata  wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya afya na mtoto.


Matangazo

  • Tangazo la zoezi la utoaji wa Vitambulisho kwa njia ya mtandao laanza, wajasiriamali wenye vigezo kusajili. April 06, 2021
  • Tangazo la Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Arusha July 17, 2018
  • Wanafuzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2019 chaguo la pili Halmashauri ya Jiji la Arusha January 04, 2019
  • Tangazo la Mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani (Robo ya Pili) Tarehe 30/1/2019 January 25, 2019
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • MAAFISA MAENDELEO JIJI LA ARUSHA WATAKIWA KUPINGA UKATILI

    March 16, 2021
  • MBUNGE MAGIGE ATOA MIFUKO 100 YA SARUJI UJENZI SEKONDARI UNGALIMITED

    March 14, 2021
  • WATENDAJI KATA NA WATAALAM WA AFYA WATAKIWA KUSAIDIA HUDUMA YA AFYA

    March 12, 2021
  • SERIKALI YARIDHISHWA NA MIRADI YA MIUNDO MBINU JIJINI ARUSHA

    March 10, 2021
  • Tazama zote

Video

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa