Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anawatangazia wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kuwa dirisha la kupokea maombi ya mikopo inayotolewa na Halmashauri litakuwa wazi kwa robo ya kwanza kuanzia TAREHE 15/07/2022 HADI TAREHE 18/08/2022. Vikundi vitakavyoshughulikiwa ni vile tu vilivyosajiliwa kwenye mfumo wa ufuatiliaji na usimamizi wa mikopo (TPL-MIS) / kwa njia ya Mtandao.
Kwa taarifa zaidi tafadhali PAKUA hiyo nyaraka hapo chini
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa