Friday 21st, February 2025
@Viwanja vya Gymkhana
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Ndg. Maxmillian Iranqhe amewasisitiza wananchi na wafanyakazi wote kuhakikisha wanatunza mitambo hii mipya iliyonunuliwa na Jiji la Arusha kwani ni kwa ajili ya Jiji la Arusha na itakapotunzwa ndio itadumu na kuboresha miundombinu ya Arusha.Kwa upande wake Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Ndg. John L. Kayombo amewahakikishia wananchi wote pamoja na viongozi wa Jiji la Arusha kuwa sasa muarobaini wa tatizo la barabara umepatikana.
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa