HATUA ZA KUFUATA
1.Hakikisha umesajiliwa kwenye mfumo
Unaweza kusalijiwa kupitia afisa TEHAMA wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kwenye ofisi za Jiji chumba namba 49.
2.Huisha akaunti yako ya Mfumo
Tumia akaunti yako ya barua pepe za serikali Ili kusajiliwa na uweze kuhuisha akauti yako mara baada ya hatua ya kwanza kukamilika
3.Ingia na chagua kiungo cha kibali cha Kusafiria
Upande wa kushoto mwaa mfumo kuna machaguo,chagua kiungo cha kibali cha kusafiria kisha chagua Omba kibali.
4.Jaza Fomu kwa kufuata hatua namba 1 mpaka namba 5 .
Mara baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu kikamilifu ,bonyeza wasilisha kukamilisha maombi ya kibali
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa