• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

DC Mtanda awataka Watumishi kufanya kazi kwa weledi

Posted on: December 8th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mh. Said Mtanda amewataka watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kuchapa kazi, kua wakweli, watiifu, waaminifu na wenye mawazo chanya kwani kwakufanya hivyo kutamfanya kua Mkuu wa Wilaya bora kwani kazi hiyo haifanyi peke yake.

DC Mtanda ametoa wito huo 8/12/2021 alipokua akizungumza na watumishi wa Ofisi yake katika Hafla fupi ya ukaribisho wake akitokea Wilaya ya Moshi.

Aidha amewataka watumishi na wafanyakazi wa Ofisi ya mkuu wa Wilaya wasiwe kero kwa wananchi, kwa Serikali badala yake wajitume kufanya kazi kwa umoja ili kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na serikali yake kutekeleza Majukumu yao.

"Mimi ni Mtu ninayependa kazi, ninayejituma kufanya kazi ningependa waliochini yangu wapende kazi na wajitume kufanya kazi... Mkinisikiliza Mimi tutaenda vizuri, mimi no mtu muwazi, mkweli na sipendi majungu na Mimi ili niwe bora ni lazima niwe na Maafisa Tarafa bora " - DC Mtanda

Akiendelea kuzungumza na watumishi hao, Mhe. Mtanda amewataka watumishi kua wakarimu kwa wanachi huku na kueleza haki Tatu za msingi kwa wananchi wanaofika katika Ofisi hiyo ni pamoja na Kupokelewa, Kusikilizwa na Kuhudumiwa.

"Mimi mkuu wa Wilaya nawapenda watu natamani na wale wanaofanya kazi na Mimi wawapende watu bila kuwabagua hali na hadhi zao"

Akihitimisha salamu zake za ukaribisho kwa watumishi wa Ofisi yake kama mkuu wa Wilaya ya Arusha amesisitiza Amani na upendo Miongoni mwa Watumishi wote, kuepuka kusemana, kuhujumiana na kwamba hiyo ni Ofisi ya Utendaji wala sio ya siasa.

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO October 29, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa