Pichani: Mkuu wa wilaya ya Arusha Mjini Mhe. Gabriel Daqarro akitoa elimu kwa wananchi na wafanyabiashara katika Soko Kuu la jiji la Arusha Juu ya katazo la matumizi ya plastiki na kuhamasisha matumizi ya mifuko mbadala ambayo ni rafiki wa mazingira
Pichani: Bw. Lewis Nzali, Meneja wa Mamlaka ya Taifa ya Udhibiti na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) kanda ya Kaskazini akitoa elimu kwa wananchi na wafanyabiashara juu ya katazo la mifuko ya plastiki na kuhamasisha utunzaji wa mazingira kwa kutumia mifuko mbadala katika soko la kilombero jijini Arusha
Pichani: Mkaguzi wa Mazingira kutoka Mamlaka ya Taifa ya Udhibiti na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) kanda ya Kaskazini Bw. Novatus Mushi akijibu maswali ya wananchi na wafanyabiashara wakati wa utoaji wa elimu juu ya katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki katika soko la kilombero jijini Arusha
Pichani: Afisa Usafishaji na mazingira wa jiji la Arusha Bw. James Lobikoki akitolea ufafanuzi adhabu zilizowekwa kwa watakaokaidi katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki pamoja na sheria na miongozo iliyowekwa katika usimamizi wa katazo hilo katika Soko Kuu Jiji la Arusha.
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa