Halmashauri ya jiji la arusha imepokea vifaa vya vya kuboresha mfumo wa ukusanyaji wa takwimu kwa ajili kusaidia shughuli za Mafisa Ustawi wa Jamii katika Jiji la Arusha kutoka katika taasisi ya PACT chini ya mradi wa Usaid Kizazi Kipya.
Makabidhiano ya vifaa hivyo yanatokana na makubaliano yaliyofanywa na baina ya TAMISEMI na kampuni hiyo ya PACT juu ya usambazaji wa vifaa hivyo katika halmashauri 67 zilizopo hapa nchini ikiwemo Halmashauri ya Jiji La Arusha.
Miongoni mwa Vifaa vilivyotolewa na taasisi ya PACT chini ya mradi wa Usaid Kizazi Kipya ni pamoja na KOMPYUTA, PRINTER, MODERM NA UPS.
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Simu ya Mkononi: 0272545768
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa