• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Arusha City Council
Arusha City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na biashara
      • Utumishi na Utawala
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Usafishaji na Mazingira
      • Works and Infrastucture
      • Water
      • Mipango, Uchumi na takwimu
      • Mipango miji
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tekinolojia ya habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Internal Audit
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
    • Kata
      • Baraa
      • Daraja II
      • Elerai
      • Engutoto
      • Kaloleni
      • Kati
      • Kimandolu
      • Lemara
      • Levolosi
      • Moivaro
      • Moshono
      • Murriet
      • Ngarenaro
      • Olasiti
      • Olmoti
      • Oloirien
      • Osunyai
      • Sakina
      • Sekei
      • Sinon
      • Sokon I
      • Sombetini
      • Terrat
      • Themi
      • Unga Ltd
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Usafi wa Mazingira
    • Elimu
    • Biashara
    • Maendeleo ya Jamii
    • Leseni
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maadili
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Ratiba ya kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • STUDY ONLINE
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa umma

Jiji la Arusha kitovu cha mafunzo kwa Halmashauri Nchini

Posted on: March 26th, 2018

Halmashauri ya Jiji la Arusha imekuwa ikipokea wageni kutoka miji mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kujifunza mambo ya kiutendaji na hiyo ni kutokana na sababu za kiufanisi katika utendaji wa shughuli za kila siku zinazoigusa hasa jamii.

Halmashuri ya Jiji la Arusha imepokea wageni (Mameya, Mkurugenzi, Madiwani na baadhi ya Watendaji) kutoka halmashauri ya jiji la Dar Es Salaam  ambapo lengo kuu la ziara yao lilikuwa ni kujifunza juu ya usimamizi na uendeshaji wa Jalala la kisasa, usimamizi wa shughuli za kitalii katika jiji la Arusha hasa maeneo yenye vivutio na usimamizi pamoja na uendeshaji wa shughuli za Maegesho.

“Nimefarijika na ujio wenu katika halmashauri yetu na naamini mnayo mengi ya kujifunza na pia hii ni fursa kubwa kwetu pia kwani sio tu ziara ya kimafunzo bali ni muunganiko ambao una faida kubwa katika siku za baadae” alisema Mkurugenzi wa jiji la Arusha Ndg. Athumani Kihamia alipokuwa akitoa neno la ukaribisho kwa wageni.

“Kufuatia ziara yenu pia halmashauri yetu itaweza kubadilishana uzoefu na nyie katika Nyanja mbalimbali za kiutendaji na pia halmashauri yetu kuweza kujitangaza vizuri katika miji mingine hapa nchini na hata nje ya nchi” aliongeza Kihamia.

Naye mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe. Kalist Lazaro ameipongeza halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam kwa kuchagua Jiji la Arusha kama sehemu yao ya kujiongezea ujuzi.

Pamoja na ziraya yao ya kimafunzo pia walipata fursa ya kutembelea bustani inayoishi ya Themi (Themi Living Garden) ambayo katika historia hapo mwanzo ilikuwa kichaka cha wahalifu ila baadae Halmashuri ya Jiji la Arusha iliamua kuhifadhi eneo hilo na kuwa mahala pa mapumziko. Kwa sasa linasimamiwa na kampuni ya watu wa Itali, Oikos baada ya kuingia nao mkataba wa maridhiano juu ya utunzaji wa mazingira.

Kadhalika walipata fursa ya kutembelea mradi wa Shanga Shangaa ambao unaendeshwa na watu wenye ulemavu mbalimbali waliowezeshwa kufanya shughuli za utengenezaji wa bidhaa mbalimbali zinazotokana na vyupa, shanga, magazeti na malighafi za zamani na kuzitengenezea bidhaa mpya kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kila siku. Mradi huo ni rafiki wa wazingira.

Aidha Halmashauri ya Jiji la Arusha pia imepokea  Wataalam kutoka Jiji la  Mwanza, Manispaa ya Ilemela na Morogoro kujifunza masuala ya usafi na mazingira sambamba na uendeshaji na usimamizi wa shughuli za dampo la kisasa lilipo kata ya Murriet Jijini hapa mapema leo hii.

MWISHO.

Matangazo

  • NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI January 16, 2025
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA MTENDAJI WA MTAA NA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU October 06, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 15, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO October 29, 2024
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • JIJI LA ARUSHA LAZINDUA MITAMBO MIPYA

    January 28, 2025
  • MKURUGENZI KAYOMBO AKABIDHIWA OFISI

    August 21, 2024
  • WANAWAKE NA WASICHANA KUJENGEWA UWEZO WA KISHIRIKI NAFASI ZA UONGOZI

    August 20, 2024
  • NENDENI MKAONGEZE UFANISI

    August 19, 2024
  • Tazama zote

Video

JIUNGE NA MFUMO WA TAUSI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MIRADI ILIYOKAMILIKA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
  • SISI NI NANI
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira safi Maisha bora

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Tovuti ya ajira
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter

Location Map

Wasiliana nasi

    20 Boma Street 23101

    Sanduku la Posta: 3013

    Simu: 0272548072

    Simu ya Mkononi: 0272545768

    Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki ©2018 Halmashauri ya Jiji la Arusha .Haki zote Zimehifadhiwa