Bw.. John L. Kayombo
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha

Bw. John Lipesi Kayombo ndiye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha tangu  14 Agosti, 2024. Kabla ya kupangiwa Jiji la Arusha,amewahi kuhudumu kama Mkurugenzi katika Wilaya mbalimbali pamoja na Majiji kama Dodoma.John Lipesi Kayombo anasifika kama mtu wa vitendo zaidi maneno kidogo.Arusha imepata Mkurugenzi.