Posted on: May 21st, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqaro amesema wanawake na vijana wanaokidhi vigezo wapewe Zabuni za Halmashauri ya Jiji ili kuweza kuwainua kiuchumi na kuboresha maisha yao kwa kazi mbalimbali ...
Posted on: May 6th, 2017
Mstahiki Meya na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha wana toa pole kwa Mmiliki, Mkuu wa Shule, Walimu na Wazazi wote wa wanafunzi waliopatwa na ajali asubuhi ya Leo tarehe 06/05/2017.
Ajali hiyo iliyotoke...
Posted on: April 26th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Mashaka Gambo amekabidhi hundi ya Tsh Bil 1 kwa vikundi vya wanawake na Vijana ikiwa ni mchango wa asilimi kumi (10%) ya mapato ya Halmashauri Jiji la Arusha.
Aki...