-
Nov 21
-
Nov 18
-
Nov 08
-
Nov 01
-
Oct 26
-
Oct 17
-
Oct 01
-
Sep 25
Jumla ya wasimamizi 30 wa Vituo vya kupiga kura wameapishwa katika ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha mapema leo Tarehe 21 Novemba 2019 na Hakimu Mkazi Mhe. Itikija Theoflo Nguvava . Akizungum
read moreMsimamizi wa uchaguzi Wilaya ya Arusha Ndg.Msena Bina amezungumza na waandishi wa habari juu ya uchaguzi wa serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mapema tarehe 24 Novemba mwaka huu . Akizungumza
read moreMkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo ametembelea jengo jipya la ofisi ya udhibiti ubora wa Shule Jijini Arusha iliyopo Kata ya Moshono katika ziara yake ya kutembelea miradi iliyofanyika tarehe 5-
read moreHalmashauri ya Jiji la Arusha imepokea barua ya umiliki wa mradi wa viwanja vya Bondeni City bure pasipo malipo yoyote eneo lenye ukubwa wa ekari 30 lililopo mtaa wa Oloresho Kata ya Olasiti Tar
read moreMkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh. Gabriel Daqarro amezungumza na wanafunzi wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao ya kidato cha nne mwezi Novemba 2019 katika mahafali ya shule za sekondari za Jiji la Arus
read moreHalmashauri ya Jiji la Arusha ni miongoni mwa halmashauri zote nchini zinazotekeleza kampeni ya chanjo Surua Rubella pamoja na chanjo ya polio kitaifa inayotolewa kwa njia ya sindano (IPV). Kamp
read moreKamati ya Siasa ya halmashauri kuu wilaya ya Arusha ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi Bwana Joseph Masawe wametembelea miradi ambayo imetekelezwa na ilani ya chama hicho kwa mwaka wa Fed
read moreMkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe. Gabriel Daqarro afungua semina ya mafunzo kwa wakuu wa shule za Sekondari za Wilaya ya Arusha yaliyokuwa yakiendeshwa na wakala wa maendeleo ya uongozi wa elimu (AD
read more
Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Jiji la Arusha
20 Boma Street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0272545768
20 Boma street 23101
Sanduku la Posta: 3013
Simu: 0272548072
Barua Pepe: cd@arushacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0272548072