Posted on: December 6th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Felician Mtahengerwa amewataka watendaji wa Kataka Wilaya hiyo kujiridhisha na uraia wa wananchi wanahitaji vitambulisho vya Taifa.
Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akigawa Vit...
Posted on: December 1st, 2023
Katibu Tawala Wilaya ya Arusha Kamala Simba amewataka wazazi na walimu kuwa karibu na watoto wao kwa kuwashauri na kuwaelimisha dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI na Magonjwa yasiyoambukizwa.
Ametoa wito h...
Posted on: November 29th, 2023
"Taasisi binafsi zinazojishughulisha na maswala ya lishe zimetakiwa kufanya kazi bega kwa bega na Serikali hususani kwa kuweka wazi bajeti zao na kazi zao".
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya y...