Posted on: August 10th, 2019
Maadhimisho ya siku ya vijana duniani leo tarehe 10/08/2019 yamefanyika kiwilaya katika viwanja vya General Tyre Jijini Arusha.
Siku ya vijana duniani ni siku ambayo vijana na wadau wanaojihu...
Posted on: August 9th, 2019
Halmashauri ya Jiji la Arusha leo tarehe 09/08/2019 imeketi kikao cha robo ya nne kwa mwaka wa Fedha 2018/2019 ambapo kwa mujibu wa kanuni kimepitisha taarifa za shughuli za maendeleo pamoja na kupoke...
Posted on: August 8th, 2019
Kushoto : Mgeni rasmi katika maonesho ya 26 ya wakulima (nane nane) kanda ya kaskazini Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega(MB) akizungumza na wajasiriamali katika banda la Halmasha...